hivi punde tu baada ya matokeo ya kidato cha nne kutoka na kuleta utata katika jukwaa la elimu, wadau mabimbali walikaa mkao wa kungojea matokea ya kidato cha Sita na hatimaye matokeo hayo kutoka na kiwango cha ufaulu kuwa juu
hayo yamebainika baada ya Balaza la Mitihani la Taifa (BAMITA) kutangaza matokeo hayo na kuonesha wanafunzi 44,366 sawa na asilimia 87.85 kati ya 50579 waliofanya mitihani na 2604 walipata daraja sifuri. ufaulu ulikuwa kama ifuatavyo wasichana walikuwa 14622 na wavulana walikuwa ni 29744 hata hivyo shule liyoongoza katika ufaulu huo ni Shule ya wasichana ya Marian ya Pwani , ufaulu huo umepanda kwa asilimia 0.20 kulinganisha na ufaulu wa mwaka jana