FAHAMU KAZI ZA MATUNDA MWILINI
PARACHICHI AU KATAPELA
Tunda hili
limekuwa maarufu sana kwa kutengenezewa juice, lakini huenda watu wakawa
hawalipendi kwasababu ya kutokuwa na sukari katika radha yake. Tunda
hili linavitamini kibao, ambapo pia huongeza mafuta mwilini, kwa wale
walitumialo mara kwa mara.Unashauriwa kula au kunywa juice ya avocado
wakati wowote endapo kama huna matatizo yoyote yanayohusiana na kuzidi
kwa mafuta mwilini.Pia tunda hili huongeza uzito endapo utalitumia mara
kwa mara
JITAHIDI KUTUMIA MATUNDA PALE UWEZAPO
No comments:
Post a Comment