Search This Blog

Monday, September 30, 2013

KAZI ZA PARACHICHI AU KATAPELA KATIKA MUONEKANO MZURI WA NGOZI YA MWILI WAKO

FAHAMU KAZI ZA MATUNDA MWILINI

PARACHICHI AU KATAPELA
  
Tunda hili limekuwa maarufu sana kwa kutengenezewa juice, lakini huenda watu wakawa hawalipendi kwasababu ya kutokuwa na sukari katika radha yake. Tunda hili linavitamini kibao, ambapo pia huongeza mafuta mwilini, kwa wale walitumialo mara kwa mara.Unashauriwa kula au kunywa juice ya avocado wakati wowote endapo kama huna matatizo yoyote yanayohusiana na kuzidi kwa mafuta mwilini.Pia tunda hili huongeza uzito endapo utalitumia mara kwa mara

JITAHIDI KUTUMIA MATUNDA  PALE UWEZAPO