Search This Blog

Tuesday, March 5, 2013

AJARI YA NDEGE INCHINI CONGO


Ndege ya CRR yapata ajari mjini Goma nchini Congo
Ndege imepata ajari majira ya saa Kumi kasoro hali ya hewa inadaiwa ilikuwa mbaya sana ndege hiyo ilidondoka wakati mvua ilikuwa ikinyesha.  ambayo imedaiwa kulikuwa na watu wapatao kumi.katika ndege hiyo.

No comments:

Post a Comment