| Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi, Jemes Mbatia akiwaonyesha waandishi wa habari, kitabu cha mitalaa ya Elimu ya Sekondari, alipokuwa akizungumza kuhusu kushuka kwa kiwango cha elimu nchi. |
Search This Blog
Wednesday, February 20, 2013
Chadema, NCCR Mageuzi wang’aka juu ya matokeo ya Form IV
Je.! huu ni uungwana...??
Wanaume muwenahuruma kwa kwamanawake wenu.
Utakuta dume zima full kumnyanyasa binti wa watu, utampendaje
mwanamke bila kumjali bhana,? yaani we unapenda penda tu, ukimwona kapendeza hujui amejigalimiaje, we unatungua na kumweka ndani bila kujali
thamani yake, unafikiria imekuwa nguo hiyo. haya sasa unajikuta unamshindisha njaamrembo wa watu na kuwaachia majukumu
watu wengine buree!! kisha jioni wataka Game du. Hivi wengine wakikusaidia
kulea utalaumu…?? Ebo….. Mzee mzima Nay Wa Mitego hajakosea kabisa wanaume wote
mlaaniwe mnaowanyanyasa wanawake na malaaniwe
Hata kwenye vitabu vya dini imeandikwa mwanamke ni dhaifu sana unapompiga na kudhalilisha unakosea bana iweje umdhalilishe iweje leo mnyanyase ........ kamaumemchoka mwana wa mwenzio basi umrudishe kwao ni wanaumefeki hao wanaowanyanya wanawake wanake zao
Tuesday, February 19, 2013
MATOKEO YA MTIHANI WA KIDATO CHA NNE (FORM IV) 2012
The National Examinations Council Of Tanzania (NECTA)
Balaza la Mitihni Tanzania (BAMITA)
Balaza la Mitihni Tanzania (BAMITA)
Matokeo ya mtihani wa kidato
cha Nne ( Form IV ) 2012
Hatimaye baadaya
wanafunzi kuwa na hamu ya kupata matokeo yao
ya kidato cha nne balaza la mitihani la toa matokeo hayo katika mtandao wao, kwa hupata matokeo hayo tembelea mtandao wa balaza la mitihani kwa hubofya hapa
Saturday, February 16, 2013
Ajira! ajira! ajira!
Kwa wale ambao walioomba ajira katika wizara ya Elimu na Mafunzo ya ufundi nchini Tanzania hatimaye wizara hiyo imeamua kutoa ajira kama ilivyo tarajiwa.
AJIRA MPYA YA WALIMU WA SHAHADA WA SHULE ZA SEKONDARI MWAKA 2012/13. bofya hapa kuyapata majina hayo.
AJIRA MPYA YA WALIMU WA VYUO VYA UALIMU NA SHULE ZA MAZOEZI MWAKA 2012/13 bofya hapa kupata list ya majina hayo.
Wizara hiyo imetoa taarifa kuwa.
Walimu
wote waliopewa ajira ya Ualimu Serikalini ambao majina yao yametangazwa katika tovuti za Wizara ya
Elimu na Mafunzo ya Ufundi na Ofisi ya Waziri Mkuu- TAMISEMI, wanatakiwa kuripoti
tarehe 01 Machi 2013 kwenye Ofisi za Wakurugenzi wa Halmashauri
walikopangiwa kwa ajili ya kupangiwa Vituo vya kazi. HAKUNA MABADILIKO YA
VITUO VYA KAZI YATAKAYOFANYWA. Mwalimu anatakiwa kwenda na vyeti vyake
halisi vya taaluma na cheti cha kuzaliwa pamoja na nakala zake. Mwalimu ambaye
hataripoti ifikapo tarehe 9 Machi 2013 atapoteza nafasi hiyo. NB: WALIMU
WALIOKWISHA AJIRIWA WARUDI KWA WAAJIRI WAO
Thursday, February 14, 2013
Vikao vya bunge kutorushwa Live.
No' Wabunge kutokelezea live! live! kwenye kideo hukuwakioneshana mnjonjo yao na Watanzania wakiwakodolea mcho waziwazi. Umelifahamu hili
Kwa lengo la kukomesha vurugu za wabunge wanaotafuta umaarufu .Bunge lianza mchakato kusitisha matangazo ya vikao vyake kurushwa moja kwa
moja yaani live kama
ilivyo kawaida ya bunge hili. Imedaiwa kuwa itarushwa
katika mfumo wa yaliyojiri katika vikao hivyo baada ya kuhaririwa, na hii yote imetokana kuwa bunge haliendeshwi kwa kanuni, wabunge wanamasilahi yao binafsi na kuwa bunge siyo kilabu au mahali pa kuoneshana ubabe hivyo lengo hili ni kwaajiri ya kuweka utaratibu mzuri wa matukio bungeni hapo haya yote yamejili hapo bungeni.
Lakini swala la kujiuliza hivi kweli kutorushwa live kwa matukio hapo bungeni kunafuata sera nzima za Demokrasia ? Matokeo ya Sensa ya watu na Makazi 2012
MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI YA 2012(
31.12.2012) ILIVYOTOLEWA NA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA JAKAYA MRISHO KIKWETE.
Kwa mjibu wa sensa ya
watu na makazi ya 2012 sasa Tanzania
ina watu Wapatao 44,929,002.Tanzania Bara ni watu 43,625,434 na Zanzibar ni watu
1,303,568.
Sensa hii ilifanyika Agosti
2012.Kabla ya uhuru sensa y kwanza Tanganyika ilifanyika 1910 na 1957 na
Zanzibar 1958.Kwa Tanzania Bara baada ya uhuru sensa ya kwanza ilifanyika mwaka
1967 Tanzania Bara watu walikuwa 11,958,654 na Zanzibar walikuwa watu 354,400
jumla kuu ilikuwa 12,313,054, ya pili mwaka1978, ya tatu mwaka 1988, ya nne
mwaka 2002 na tano ni mwaka huu 2012 agosit.Sensa ya2002 watu walikuwa
34,400,000.Sensa hii ilifanyika kwa watu wote waliolala usiku wa kuamkia agosit26
2012.
Monday, February 4, 2013
Msanii mwenye kipaji cha ajabu..!
Wamfahamu msanii huyu ajulikanaye kama Paul Timoth. anayefahamika kama Mwasile
![]() |
| Mwasile da duniani kunawatu wenye vipaji cheki na Msanii huyu |
Subscribe to:
Posts (Atom)
