Kwa wale ambao walioomba ajira katika wizara ya Elimu na Mafunzo ya ufundi nchini Tanzania hatimaye wizara hiyo imeamua kutoa ajira kama ilivyo tarajiwa.
AJIRA MPYA YA WALIMU WA SHAHADA WA SHULE ZA SEKONDARI MWAKA 2012/13. bofya hapa kuyapata majina hayo.
AJIRA MPYA YA WALIMU WA VYUO VYA UALIMU NA SHULE ZA MAZOEZI MWAKA 2012/13 bofya hapa kupata list ya majina hayo.
Wizara hiyo imetoa taarifa kuwa.
Walimu
wote waliopewa ajira ya Ualimu Serikalini ambao majina yao yametangazwa katika tovuti za Wizara ya
Elimu na Mafunzo ya Ufundi na Ofisi ya Waziri Mkuu- TAMISEMI, wanatakiwa kuripoti
tarehe 01 Machi 2013 kwenye Ofisi za Wakurugenzi wa Halmashauri
walikopangiwa kwa ajili ya kupangiwa Vituo vya kazi. HAKUNA MABADILIKO YA
VITUO VYA KAZI YATAKAYOFANYWA. Mwalimu anatakiwa kwenda na vyeti vyake
halisi vya taaluma na cheti cha kuzaliwa pamoja na nakala zake. Mwalimu ambaye
hataripoti ifikapo tarehe 9 Machi 2013 atapoteza nafasi hiyo. NB: WALIMU
WALIOKWISHA AJIRIWA WARUDI KWA WAAJIRI WAO
No comments:
Post a Comment