Ni baathi ya moja kati ya maeneo ambayo ni ya kitalii yaliyopo kato ya mto Ruaha uliopita kwenye shule ya sekondari Malangali High School iliyopo mkoani Iringa wilayani Mfindi, eneo hili hufahamika kama Stone Beach , kuna mawe makubwa yaliyo kando ya mto na miti mizuri amakweli wana Malangali twajivunia kuwa kuwa katika eneo hili.
kweli naipenda malangali
ReplyDelete