Katika mchakato wa uchaguzi unaoendelea nchini Kenya Matokeo ya uraisi mh
Uhuru Jomo Kenyata aongoza kwa kura milioni mbili na laki nne kwakumzidi
mpinzani wake Raila Odinda kwa kura milioni
moja na laki nane. inasemekana kuwa ni kura 30% tu ambayo yamewasilishwa kura zilizo hesabiwa mpaka sasa ni kula
milioni 3 kati ya kula milioni 10 .
katika maeneo ambayo yameshatoa matokea baathi ya wagombea wamekubali
kushindwa na wale walioshinda wanasherekea katokeo hayo.
Search This Blog
Tuesday, March 5, 2013
MCHAKATO WA UCHAGUZI NCHINI KENYA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment