yaliyojili jijini hasa katika Manispaa za Jiji la Dar es Salaam, kama Ilala na Kinondoni
zilivyoweza kulisafisha jiji na kuwa safi kiasi cha kuvutia. inadaiwa kuwa kumbe jiji kuwa chafu ni uamuzi wa wahusika wenyewe na si wakazi wake kwani
wahusika hao wameweza kuingia mitaani na kufanya usafi kwa zana zilezile
za siku zote kulifanya jiji hilo kuwa safi kuliko siku za nyuma na kupelekea jiji hilo ku ng'aa isivyo kawaiada
da chezea obama wewe
No comments:
Post a Comment