Search This Blog

Wednesday, February 20, 2013

Chadema, NCCR Mageuzi wang’aka juu ya matokeo ya Form IV



Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi, Jemes Mbatia akiwaonyesha waandishi wa habari, kitabu cha mitalaa ya Elimu ya Sekondari, alipokuwa akizungumza kuhusu kushuka kwa kiwango cha elimu nchi. 

Umeisikia hiyo “Chadema, NCCR Mageuzi wang’aka

Umefika wakati wa kuweka tofauti zetu za kisiasa pembeni, tufanye kazi kwa pamoja ili kulinusuru taifa letu na elimu hii ya maafa, nilishangazwa sana na kitendo cha wabunge wa CCM kuipinga hoja yangu, haya ndio matokeo sasa haya yote yalitolewa na Mh. James Mbatia

No comments:

Post a Comment