No' Wabunge kutokelezea live! live! kwenye kideo hukuwakioneshana mnjonjo yao na Watanzania wakiwakodolea mcho waziwazi. Umelifahamu hili
Kwa lengo la kukomesha vurugu za wabunge wanaotafuta umaarufu .Bunge lianza mchakato kusitisha matangazo ya vikao vyake kurushwa moja kwa
moja yaani live kama
ilivyo kawaida ya bunge hili. Imedaiwa kuwa itarushwa
katika mfumo wa yaliyojiri katika vikao hivyo baada ya kuhaririwa, na hii yote imetokana kuwa bunge haliendeshwi kwa kanuni, wabunge wanamasilahi yao binafsi na kuwa bunge siyo kilabu au mahali pa kuoneshana ubabe hivyo lengo hili ni kwaajiri ya kuweka utaratibu mzuri wa matukio bungeni hapo haya yote yamejili hapo bungeni.
Lakini swala la kujiuliza hivi kweli kutorushwa live kwa matukio hapo bungeni kunafuata sera nzima za Demokrasia ?
No comments:
Post a Comment