Search This Blog

Wednesday, February 20, 2013

Je.! huu ni uungwana...??

Wanaume muwenahuruma kwa kwamanawake wenu. 
Utakuta dume zima full kumnyanyasa binti wa watu, utampendaje mwanamke bila kumjali bhana,? yaani we unapenda penda tu,  ukimwona kapendeza hujui amejigalimiaje,  we unatungua na kumweka ndani bila kujali thamani yake, unafikiria imekuwa nguo hiyo. haya sasa unajikuta unamshindisha njaamrembo wa watu na kuwaachia majukumu watu wengine buree!! kisha jioni wataka Game du. Hivi wengine wakikusaidia kulea utalaumu…?? Ebo….. Mzee mzima Nay Wa Mitego hajakosea kabisa wanaume wote mlaaniwe mnaowanyanyasa wanawake na malaaniwe
Hata kwenye vitabu vya dini imeandikwa mwanamke ni dhaifu sana unapompiga na kudhalilisha unakosea bana iweje umdhalilishe iweje leo mnyanyase ........ kamaumemchoka mwana wa mwenzio basi umrudishe kwao ni wanaumefeki hao wanaowanyanya wanawake wanake zao

No comments:

Post a Comment