Mwasile
da duniani kunawatu wenye vipaji cheki na Msanii huyu
yuko vizuri kwenye Kuimba ameamua kumwimbia Mungu . Siunajua tena uhai uliko toka...??? achana na kuimba dogo yuko vizuri kwenye kutengeneza Ngoma kali tena za motomoto katika Studio iitwayo SEMPAMBA RECORD inayo milikiwa na Msanii huyu iliyoko Iringa Town pande za Mtwivila
|
No comments:
Post a Comment