Search This Blog

Thursday, February 14, 2013

Matokeo ya Sensa ya watu na Makazi 2012



MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI YA 2012( 31.12.2012) ILIVYOTOLEWA NA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA JAKAYA MRISHO KIKWETE.


                         Kwa mjibu wa sensa ya watu na makazi ya 2012 sasa Tanzania ina watu Wapatao 44,929,002.Tanzania Bara ni watu 43,625,434 na Zanzibar ni watu 1,303,568.
Sensa hii ilifanyika Agosti 2012.Kabla ya uhuru sensa y kwanza Tanganyika ilifanyika 1910 na 1957 na Zanzibar 1958.Kwa Tanzania Bara baada ya uhuru sensa ya kwanza ilifanyika mwaka 1967 Tanzania Bara watu walikuwa 11,958,654 na Zanzibar walikuwa watu 354,400 jumla kuu ilikuwa 12,313,054, ya pili mwaka1978, ya tatu mwaka 1988, ya nne mwaka 2002 na tano ni mwaka huu 2012 agosit.Sensa ya2002 watu walikuwa 34,400,000.Sensa hii ilifanyika kwa watu wote waliolala usiku wa kuamkia agosit26 2012.

No comments:

Post a Comment